Promote your business for free

THIS BLOG IS SPONSORED BY AFRICAN SOCIAL NETWORK ,THE SOCIALY NETWORK PAY ITS USER IN POINTS BASED JOIN NOW AND SEE HOW MUCH MONEY YOU CAN MAKE USING SOCIAL NETWORK. | FEEL FREE TO ADVERTISE ON WWW.BONGLOB.COM

Thursday, 23 September 2010

Mtayarisha wa shughuli ndani ya pozi

Mc akibarizi

Mafunzo yaliendelea

Wageni waalikwa.

Madada nao hawakubaki nyuma

Trisha na dada dory wakiburudika

Bi harusi mtarajiwa Angela na mpambe wake

Bi harusi akiwa na mpambe wake,wakiendelea kunasa vitu walivyokua wamemuandalia

Kitchen party in Reading

Wednesday, 22 September 2010

Matukio ya mwisho wa wiki

Tuma matokeo yanayotokea Reading na maeneo mengine. Blog yenu ya jamii iko tayari kuwapasha habari za hapa na sehemu yoyote ulimwenguni.

Timu ya Habari Reading

E-mail tzra2009@gmail.com

Tangazo Tanzania

Tuesday, 21 September 2010

Saturday, 18 September 2010

Enzi za Uhai wake Pastor Joseph Shem Onyango

Enzi za Uhai wake

Pastor akiwa na wajukuu zake

Msiba Tanzania

Pastor akiwa na Mama Pastor na wajukuu wao
TANGAZO LA MSIBA

Tunasikitiza kutangaza kifo cha Pr. Joseph Shem Onyango Kilichotokea jana mchana Kihonda, Morogoro kutokana na ajali ya barabarani. Mchungaji alikuwa akielekea kwenye kituo cha basi tayari kwa safari ya kwenda dar kushiriki katika sabato ya wageni jumamosi tarehe 18.9.10 kwenye kanisa la Tegeta. Marehemu alizaliwa 1936 na amekuwa akililitumika kanisa la waadeventista wasabato kwa zaidi ya miaka 40, Pr. atakumbukwa sana na watu wengi africa mashariki kutokana na huduma zake kwenye kanisa za kaya na familia pamoja na sera za ndoa.

Mazishi yanategemewa kufanyika alhamisi mji wa morogoro.

Asanteni
Frank Eyembe
Urban Pulse Creative
[B-Consuls Global Ltd, a company registered here in Reading, UK announces to all dear potential customers who want to travel anywhere in the world that it has now launched a travelling agency unit which can offer the best deal for air ticketing to those who plan or want to travel abroad. It is so far the only unit where a customer proposes the amount he/she can offer for a flight (of course a realistic amount) and the agent will work out from there to provide the fit for purpose deal for the customer.

Don’t stress yourself anymore with the so called online ‘cheap’ flights which contain hidden costs and expose yourself to the highest risk of prior performance with the people you don’t know and which can rip you off of money that you get through much toil and sweating! Save yourself risks, time and money by contacting us and we will negotiate the best deal with you. Even if it will eventually be through Gatwick we will still arrange transport for you to take you to the airport. Come on! Pick a phone right now if you are planning to travel or use the contact us form in the address below to reach us anytime anywhere:

Form: http://www.b-consulsglobal.co.uk/Web%20pages/Contact%20Us.html

Phone: 07810034374
Customer Services
B-Consuls Global Ltd,
Reading, UK.]

Thursday, 16 September 2010

KIKAO CHA SHINA

CHAMA CHA MAPINDUZI

SHINA LA CCM READING

KIKAO CHA SHINA - 25/09/2010 (Jumamosi)

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Shina la Reading . Mnakaribishwa kwenye kikao cha shina cha kila mwezi,ambapo tutajadili mambo mbali mbali yanayohusu shina letu. Jitokezeni kwa wingi ,mjulishe mwanachama mwenzako pia.

Anuani: The Warehouse

01 Cumberland Road

Reading

RG1 3LB

Muda: Saa 10 Jioni - Saa 12 Jioni.

Kutakuwepo na Kadi za CCM ambazo zitatolewa kwa Wanachama wapya na wale ambao kadi zao uanachama zimekwisha muda (Kadi paundi Tatu - £3, Ada ya mwaka paundi Kumi na Mbili - £12),Akikisha unakuja na ada ya Kadi

Kwa ufafanuzi zaidi tafadhali wasiliana na Katibu wa Shina;

Hussein Chang'a kwenye barua pepe: ccmreading2010@gmail.com

http://www.ccm-shinareading.blogspot.com/

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Wednesday, 15 September 2010

Habari za leo reading 15/09/2007

Siku iliyokua ya mafanikio makubwa kwa watu walioenda kwenye training hiyo. Wachache wamepata nafasi ya kukutana na wakubwa wa kampuni ya CALADAN EXECUTIVE TRAINING NA KUPEWA BAADHI YA TIPS KUHUSIANA NA UPATIKANAJI WA KAZI BILA KUWA NA UZOEFU.
Watu waliohusika katika mafunzo hayo ya kuandaa cv nzuri na jinsi ya kujibu maswali wakati wa interview wamekua wazi kabisa na kuona wenyewe ni jinsi gani watu hukosa kazi sio kwa ajili hawajasoma ila ni kwasababu ya kuwa na cv yenye muonekano mbaya na jinsi ambavyo wanajibu maswali wakati wa interview.
imekua ni siku maalumu sana kwani watu wameondoka wakiwa wameelimika kabisa na kuombwa waone jinsi ambavyo wanaweza kufanya kazi bila malipo (volunteer) ili Kupata fursa ya kutengeneza cv zao. Picha hapo chini ni za leo kwenye training .

ND;James Ahadi akiwa na Abduli Shelufumo wakiwa wanafanya kazi ya kurekebisha cv mbovu za watu zilizo tumwa kwenye makampuni mbalimbali na kuzitoa makosa ili kuwawezesha wengine kuona jinsi ya kuandika cv.

umbea umepewa nafasi hapa karibuni



blog nyingine hii ni ya umbea tu kama kuna kitu kinakukera tuandikie tuma na picha tutakirusha hii ni zeeecodi ya uk http://nitonye.blogspot.com/
  

mpya

Posted: 14 Sep 2010 02:18 PM PDT
AFRIKA KOMMT! An Initiative of German Industry for Future Leaders of Subsaharan Africa Announcement of the Scholarship Programme About AFRIKA KOMMT! AFRIKA KOMMT! (AFRICA IS COMING!) is a joint initiative for capacity building by leading German companies. It targets young highly qualified ...

[ Guys, Please join us in FACEBOOK to recieve many many vacancies through facebook. The link is http://www.facebook.com/AfricanCareer ]
Posted: 14 Sep 2010 02:17 PM PDT
The Centre for African Family Studies is an African Institution dedicated to strengthening the capacities of organizations and individuals in the field of health, HIV & AIDS, population and development in order to contribute to improving the quality of life of families in sub-Saharan ...

[ Guys, Please join us in FACEBOOK to recieve many many vacancies through facebook. The link is http://www.facebook.com/AfricanCareer ]

Tuesday, 14 September 2010

Tanzania yawa na leseni za maana sasa





J.R. Whipple & Associates

Tunasomeka duniani kwamba tupo sasa baada ya kupata leseni mpya. Hongera kwa nchi yetu jamani.





Mkurugenzi wa huduma kwa mlipa kodi, Mamlaka ya Mapato (TRA), Protas Mmanda, akionyesha mfano wa leseni mpya za udereva, makao makuu ya TRA jijini Dar. Shoto ni Afisa Mnadhimu wa Kikosi cha Polisi wa usalama barabarani, Johansen Kahatano. Habari na http://www.wavuti.com/
Picha na Chachandu Daily blog.

Mamlaka ya mapato Tanzania, TRA, kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi nchini wameanza utekelezaji wa mfumo mpya wa utoaji leseni za udereva wa vyombo vya moto kwa lengo la kudhibiti ajali za barabarani na utoaji holela wa leseni na kudhibiti mapato ya Serikali.


Kadhalika, Afisa Mnadhimu wa Kikosi cha Polisi wa Usalama Barabarani, Johansen Katahano, amesema kuwa madaraja ya leseni hizo yameongezwa kutoka 8 hadi 14. Madaraja hayo yameongezwa katika daraja A na C na yameongezwa kutokanana na uwezo wa vyombo vya moto vya madaraja husika na idadi ya abiria watakaobebwa na vyombo hivyo.


Uzinduzi wa matumizi wa leseni hiyo yatafanyika
kesho Jumatano jijini Dar.


Leseni hizo mpya zitakuwa na uwezo wa kutunza kumbukumbu za kielektroniki za mtumiaji ikiwemo idadi ya makosa aliyoyafanya akiendesha chombo cha moto, gari na pikipiki.


Leseni hizi mpya zitahitimisha matumizi ya leseni za zamani.


Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa mlipa kodi wa TRA, Protas Mmanda amewataka madereva wanaotumia leseni zao za kawaida kutokuwa na wasiwasi kwani kwa muda huu wataendelea kutumia leseni hizo kihalali na watapewa leseni mpya watakapokuwa wanakwenda kwa ajili ya kuzihaishi. Watu wenye leseni za Daraja C wataanza kupata leseni hizo mara moja lakini watahitajika kupata mafunzo maalumu kwanza.