Waziri wa Afya, Profesa David Mwakyusa akijaribu moja ya magari 14 ya wagonjwa ambayo ni msaada kutoka Jumuiya ya nchi za Ulaya katika hafla fupi iliyofanyika Dar leo kwa ajili ya kuboresha huduma za mama wajawazito na watoto.
Mbali ya magari ya wagonjwa jumuiya hiyo imetoa pikipiki 5, Laptop Compyuters 4, Photocopy mashine vikiwa na thamani ya zaidi y ash. Bilion moja
very good blog watanzania, endelezeni kutupa habari za hapa na nyumbani, regards isaac matsinde
ReplyDelete