Promote your business for free

THIS BLOG IS SPONSORED BY AFRICAN SOCIAL NETWORK ,THE SOCIALY NETWORK PAY ITS USER IN POINTS BASED JOIN NOW AND SEE HOW MUCH MONEY YOU CAN MAKE USING SOCIAL NETWORK. | FEEL FREE TO ADVERTISE ON WWW.BONGLOB.COM

Friday, 19 February 2010

TANGAZO LA MWALIKO

Familia ya Mzee na Mama Elton Lusingu Ilioko Reading (wingereza), Ingependa kuwaalika ndugu wote, jamaa na marafiki, kujumuika nao kwenye hafla maalum ya kushukuru kwa mafanikio ya shuguli zote za msiba wa ndugu yao mpendwa

Sophia Musa Hayuma Gerald

Hafla hii imepangwa kufanyika

Tyndale Baptist Church

Cressingham Road, Reading

RG2 7JE

Jumamosi ya Tarehe : 20th -02-2010

Kwaanzia Saa: 09.00 Mchana - HADi – 03.00 Usiku

Mnakaribishwa wote

No comments:

Post a Comment