Promote your business for free

THIS BLOG IS SPONSORED BY AFRICAN SOCIAL NETWORK ,THE SOCIALY NETWORK PAY ITS USER IN POINTS BASED JOIN NOW AND SEE HOW MUCH MONEY YOU CAN MAKE USING SOCIAL NETWORK. | FEEL FREE TO ADVERTISE ON WWW.BONGLOB.COM

Tuesday, 13 April 2010

MABADILIKO YA TAREHE YA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA JUMUIYA READING, UK
Nakuchukua fursa hii kuwataarifu Watanzania waishio Reading ya kuwa tutakuwa na mkutano mkuu wa kuwachagua viongozi wa jumuiya yetu hapa Reading tarehe 24/04/2010. Kwa yoyote yule atakayependa kuwania nafasi basi unatakiwa kujaza form iliyopo kwenye blogu ya jumuiya na kuirudisha kabla ya tarehe 20/04/2010.
Upatapo ujumbe huu basi mjulishe na mtanzania mwenzako ili kwamba aweze kuingia katika mchakato huu. Form zirudishe kwenye email ya Jumuiya na kama una maswali yoyote yale basi usisite kuwasiliana na viongozi. NAFASI ZA KUGOMBEA NGAZI YA JUU 1:Mwenyekiti 2:Makamu Mwenyekiti 3:Katibu 4:Katibu Msaidizi 5:Mtunza Hazina/Msaidizi WAJUMBE Nafasi Tano za wajumbe UKUMBI :ODD FELLOW HALL,
118B OXFORD ROAD.READING, RG1 7NQ Mwisho wa Russell Street opposite American pool. MUDA:16PM-19.00PM (ZINGATIENI MUDA) TAREHE:24.04.2010 Samahani kwa usumbufu mtakaoupata. -- Jumuiya Ya Watanzania Reading-UK www.tanzaniaassociation-reading.blogspot.com 07954563709,07876126862,07888841971 07799212095(Mratibu wa Uchaguzi)

No comments:

Post a Comment