TANZIA READING
Jumuiya ya Watanzania Reading, inasikitika kuwantangazia kifo cha Mama Mzazi wa Mariam Farrah wa Reading kilichotokea huko Tanzania 09/04.2010,kama desturi fikisha mchango wako kwa viongozi wa Jumuiya ya Watanzania Reading ili aweze kuwahi mazishi na pia jitahidi kufika kwa mfiwa ili tumpatie faraja ya pekee.
Mahali :16 Bedford Court
Laud Close
Reading
RG1 6RE
Simu:07810034374,00787612862,07799212095 (Jumuiya ya Watanzania Reading)
Email:tzra2009@googlemail.com
Blog:www.tanzaniaassociation-reading.blogspot.com
No comments:
Post a Comment