TANZANIAN ASSOCIATION READING AND BERKSHIRE.
Bringing the communities together through integration and cohesion Together we can make our communities better and safer
Promote your business for free
Sunday, 9 May 2010
Sherehe za Ta Reading
Mwakilishi wa Conservative kwa niaba ya mgombea ubunge wa chama hicho naye alikuwa kati ya wageni waalikwa akiongea na Watanzania waliokuwepo. Alielezea kuhusu maswala ya uchaguzi. Pia aliomba kuwa mwanachama rafiki wa Ta.
No comments:
Post a Comment