TANZANIAN ASSOCIATION READING AND BERKSHIRE. Bringing the communities together through integration and cohesion Together we can make our communities better and safer
Friday, 7 May 2010
Siku ya Uchaguzi wa Ta Reading
Msimamizi wa uchaguzi wa Jumuiya ya Watanzania Reading Bw Lameck akiwa anatoa maelezo ya jinsi ya kupiga kura za kuchagua viongozi wa jumuiya katika mji huu. Kulia kwake ni msaidizi wake Bw Mwendo akiwa anahakikisha kuwa kila kitu kiko tayari kwa uchaguzi. Uchaguzi huo ulifanyika tarehe 24/04/2010 kwenye ukumbi wa Old Fellow katika mji wa Kusoma. Kulia kwao akiwa anafuatilia kwa makini sana ni Bw John Lusingu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Uingereza.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment