DRESS CODE: LADIES: DRESS SEXY & GENTS: SMART
ONYESHO MAALUM LA FILAMU £OVELY GAMBLE
.
KARIBUNI KUCHANGIA YATIMA WALIOATHIRIKA NA UKIMWI TANZANIA NA JUMUIA YETU YA TANZANIA.
WATOTO HAWA WANAANGALIWA NA TANZANIA MITINDO HOUSE INAYOENDESHA SHUGHULI ZAKE TANZANIA.
JUMAMOSI TAREHE 29/05/2010. SAA 12 Jioni MPAKA SAA 5NA NUSU Usiku.
WYCLIFFE VENUE, 233 KINGS ROAD, READING, RG1 4LS.
VILEVILE KUTAKUWA NA CHAKULA, VINYWAJI, BURUDANI YA MIZIKI NA VICHEKESHO .
NYOTE MNAKARIBISHWA NA KUFIKA KWENU NDIO KUFANIKISHA SHUGHULI HII. TUNAWAOMBA MJE KUSAIDIA WATOTO HAWA NA JUMUIYA YETUWETU.
MUSIC: LIVE MUSIC, AFRO BEAT, BONGO FLAVOR, HIP HOP, MDUARA AND RNB
TIKETI ZIPO KUANZIA £10 KWA VITI VYA VIP’s NA £5 KWA VITI VYA KAWAIDA.TIKETI ZINAPATIKANA –
SWIFT FREIGHTS UK (TZUK) – LONDON 0208 801 9800
AFRICANS IN LONDON TV (TINA) – LONDON
MOUDY – LONDON 078884441222
KAYE MARIE – LEICESTER 0794665430
BARAKA - LEICESTER 07909260435
BONGO FLAVOUR – READING 0118 958 5878
VINCENT BAR – READING 0118 959 3130
TANZANIA ASSOCIATION – READING 07865673756
FRANK – READING 07865594576
INFO:urbanpulsecreative@googlemail.com
www.wix.com/effeort111/urbanpulse-tmh
http://www.youtube.com/watch?v=zNltrl096hU
No comments:
Post a Comment