TANZANIAN ASSOCIATION READING AND BERKSHIRE.
Bringing the communities together through integration and cohesion Together we can make our communities better and safer
Promote your business for free
Friday, 7 May 2010
Uchaguzi wa Ta Reading
Bi Stella akiwa mwenye furaha ya kuchaguliwa kwenye uchaguzi wa viongozi uliofanyika tarehe 24 april 2010 kwenye mji wa kusoma. Hapa akiwa anapongezwa na Mwenyekiti wa Ta Taifa Mh John Lusingu
No comments:
Post a Comment