Mgeni rasmi Mh Dk. D. Kamala waziri wa Afrika mashariki mwenye suti nyeusi na Mkurugenzi wa Afrika mashariki Mh Bw Wegoro wa kwanza kushoto. Wakishuka tayari kwa mkutano mjini Reading au Dodoma ya Uk.
Mkutano wa kuongelea maswala ya Afrika mashariki na kuweza kuona jinsi gani Watanzania watakavyoweza kuchangia katika suala zima la muungano huo wa Afrika mashariki.
No comments:
Post a Comment