Naomba utupostie short video ya ziara ya waziri wa Afrika mashariki Mh Kamala akiambatana na Mheshiwa Mama Balozi Majaar paomoja na Mkurugenzi wa Afrika Mashariki Werego hapa mjini Kusoma tarehe 19.6.10 ili kukutana, kujadiliana na watanzania
Pia Siku hio ilikuwa pekee kwa Urban Pulse Ile kampuni iliotengeneza movie ya LoveLy gamble kutoa zawadi zao walizo ahidi kwa TA Reading and watoto yatima kutoka Mitindo House Tanzania.
Tafadhali bonyeza link chini
http://www.youtube.com/watch?v=YhvHhBi5Oq0&feature=player_embedded
Watanzania umefika wakati wa kushirikiana tuache kuwa Haters hatutofika Mbali,
Mbarikiwe wote,
Frank eyembe
Urban Pulse Creative
No comments:
Post a Comment