Ningependa kuwapatia wadau wote fursa ya kuona mahojiano ya Mh Dr Kamala na wadau wa hapa Ukerewe Kuhusiana mtanzamo wa jumuia ya Africa mashariki na maslahi ya Tanzania.
Pia Mh Kamala aliwahakikisha kutolewa kwa ushuru wa vifaa vya kutengenezea video na filamui kwa ajili ya kuendeleza kiwanda cha kutengenezea filamu. Pia Dr Cleopa kutoka chuo kikuu cha mjini Kusoma alikuwepo mada kuhusu mtazamo wa wabongo kwa ujumla. Mkutano huu uliandaliwa na TA Reading ukiongozwa na Mwenyekiti Mh Banduka. Bonyeza chini
http://www.youtube.com/watch?v=Jj8h0iiIidI
Asanteni
No comments:
Post a Comment