Mjue Msanii Mkazuzu wa Kitaa
Mkazuzu ni msanii wa kibongo anaishi hapa ukerewe mjini Kusoma ambae anakuja juu. Hi ni Single yake ya pili inaitwa Hustle akimshirikisha msanii Mrembo Ordaine.
Bonyeza Chini kuangalia
http://www.youtube.com/watch?v=AmXE8I_jp0c
Tunawaomba wadau wote kumpatia support msanii huu ambaye ameanza safari hii ndefu ya anga la muzuki.
Asante
Hakuna kitu,picha haifundishi kitu,why tunafauta mambo ya kuiga ya ulaya?kuvaa nguo inadondoka.Hapa pesa yangu haitoki
ReplyDelete