Mwenyekiti akiwa kwenye Dinner & Dance iliyokuwa imeandaliwa na Disability Help Me Charity, wakishirikiana na TA Reading & Berkshire. Kwa ajili ya kukusanya fedha za kuweza kusaidia walemavu kule nyumbani Tanzania.
Wanawashukuru wale wote walioweza kufika katika hafla hiyo na wale waliotoa fedha zao.
Na mwana jumuiya wa Coventry.
No comments:
Post a Comment