Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu kuna mabadiliko kwenye siku ya kufanya mafunzo ya cv na usaili (interview). Sasa yatakuwa siku ya Alhamisi tarehe 16 September 2010 Saa nne asubuhi mpaka saa kumi jioni. (10Am to 4pm) mahali MAPP, 22-24 MOUNT PLEASANT, READING RG1 2TD.
Unatakiwa kufika saa tatu kasorobo kwa ajili ya kujiandikisha na unatakiwa uzingatie muda.(9:45 Sign in)
Kutakuwa na Chai na Kahawa na vitafunio.
(Teas and Coffees and snacks available)
Samahani kwa usumbufu wowote uliotokea.
Unatakiwa kujiandikisha na kulipia pound 5.00 kwa kila mmoja. Bila kulipia ukitokea siku ya mafunzo na huku hujalipia jina lako litakuwa halipo.
Nafasi zinazotakiwa ni Ishirini tu (20).
Wahi ili uweze kuwa na uhakika wa nafasi.
Sehemu ya kujiandikishi ni ofisi za Ta Reading.
JENGO LA RISC
35-39 London Street.
Reading
RG1 4PS
SIMU 07865673756

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi.
No comments:
Post a Comment