Promote your business for free

THIS BLOG IS SPONSORED BY AFRICAN SOCIAL NETWORK ,THE SOCIALY NETWORK PAY ITS USER IN POINTS BASED JOIN NOW AND SEE HOW MUCH MONEY YOU CAN MAKE USING SOCIAL NETWORK. | FEEL FREE TO ADVERTISE ON WWW.BONGLOB.COM

Monday, 6 September 2010

MATUKIO READING


SIKU YA KUMUAGA NDUGU MAIRA READING.
SHEREHE HIYO ILIFA NYIKA KATIKA RESTAURANT MAARUFU HAPA MJINI READING WAKIWEMO WATU WENGI WALIOJITOKEZA KUMUAGA RAFIKI NA MPENZI WAO TENA KIONGOZI NUGU B.MAIRA AKIRUDI NYUMBANITANZANIA KUENDELEZA MIKAKATI YAKE YA INJILI PAMOJA NA SIASA.BWANAMAIRA KATIKA HOTUBA YAKE ISIYO PUNGUA SAAMOJA ALISISITIZA SANA UMOJA NA MSHIKAMANO NA KUTOAMIFANO MINGI UKIWEMO(WATU WASIPO KUSEMA KWA MAZURI BASI WAKUSEME KWA MABAYA LA! HUSEMWI KWA LOLOTE BASI HUNA FAIDA YA KUWEPO DUNIANI) NIMEKUSA TU KIDO.NA MWANDISHI WETU J A.OBEDI WA TARLIVE.

nd:James ahadi kushoto hapo



SIKU YA SPK KUWEKA MAMBO YAKE SAWA KATIKA KUZINDUA AU KWA MARA YA KWANZA KABISA WATANZANIA WALIOSOMEA MAMBO YA MDIA NA UTENGENEZAJI WA FILAM ZA KIMATAIFA WALIPO FANYA UZINDUZI WAO NA WATU WENGI WALIJITIKEZA KUWA SAPOTI .KWA HAKIKA WATANZANIA TUMEPIGA HATUA KATIKA SWALA HILO ZIMA MAANA ILIKUA NI KITU CHA KSHANZAZA KUONA TEKINOLOJIA YA AJABU KWA  VIJANA HAO.HIZI NI BAADHI YA PICHA ZILIZO PINGWA NJE YA TUKIO HILO.NA MWANDISSHI WETU JA.OBEDI WA TA LIVE.

No comments:

Post a Comment