Tumepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha MNONBA NJAIDI kilichotokea Agosti 27, 2010 Ireland.
Taarifa zilizotufikia kwa sasa ni kwamba mwili wa marehemu utatolewa hospitali kesho.
Ndugu wanajumuiya, tunaomba tushirikiane ili kufanikisha kupeleka mwili wa marehemu nyumbani Tanzania kwa ajili ya mazishi.
Jumla ya £3,700 zinahitajika ili kukidhi gharama za kusafirisha mwili wa marehemu kwenda Dar es Salaam kwa ajili ya mazishi.
Tafadhali ukipata taarifa hii, mjulishe na mwenzako
Kwa michango tafadhali tumia details zifuatazo;
United Kingdom:
Account name: Y W Mirambo
Account number: 726 59 181
Sort Code: 09-01-26
Bank: Santander Bank
International transfer number: Above details zitafaa lakini namba tutaweka hivi karibuni kurahisisha International transfers
Simu: Yusuph +44 7972256826
Munde +44 7869410750
Chambi +44 7900626410
Natanguliza shukrani za thati. Msafiri Mwalimu. ASANTENI
No comments:
Post a Comment