Thursday, 16 September 2010

KIKAO CHA SHINA

CHAMA CHA MAPINDUZI

SHINA LA CCM READING

KIKAO CHA SHINA - 25/09/2010 (Jumamosi)

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Shina la Reading . Mnakaribishwa kwenye kikao cha shina cha kila mwezi,ambapo tutajadili mambo mbali mbali yanayohusu shina letu. Jitokezeni kwa wingi ,mjulishe mwanachama mwenzako pia.

Anuani: The Warehouse

01 Cumberland Road

Reading

RG1 3LB

Muda: Saa 10 Jioni - Saa 12 Jioni.

Kutakuwepo na Kadi za CCM ambazo zitatolewa kwa Wanachama wapya na wale ambao kadi zao uanachama zimekwisha muda (Kadi paundi Tatu - £3, Ada ya mwaka paundi Kumi na Mbili - £12),Akikisha unakuja na ada ya Kadi

Kwa ufafanuzi zaidi tafadhali wasiliana na Katibu wa Shina;

Hussein Chang'a kwenye barua pepe: ccmreading2010@gmail.com

http://www.ccm-shinareading.blogspot.com/

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

No comments:

Post a Comment