SHEREHE YA KUSIMIKWA KWA VIONGOZI
WA JUMUIYA YA WATANZANIA READING
03.05.2010
Jumuiya ya watanzania Reading inapenda kuwaalika watanzania wote waishio Uingereza kwenye sherehe ya kuwasimika viongozi wapya waliochaguliwa tarehe 24.04.2010.
Jumuiya imewaalika viongozi mbalimbali wa kitaifa na vyama visivyo vya kiserikali. Mgeni rasmi katika hafla hii atakuwa ni mh. Mama Balozi Mwanaidi Maajar.
Jumuiya imeandaa shughuli mbali mbali siku hiyo ikiwemo nyimbo, mwakilishi wa reading post, wagombea ubunge kutoka vyama vya Labour, Conservative na Liberal Democratic pia wamealikwa kuwasimika viongozi.
Kingilio na vinywaji Bure
Ukumbi: The warehouse
1A
RG1 3LB
Tarehe:03.05.2010
Muda: Kuanzia Saa 10 Jioni (
Mpaka Saa 5 Usiku (
Burundani: Italetwa na Dj Richie wa Bongo DEEJAYS
Kwa mawasiliano zaidi piga 07954563709, 07876126862, 07979428883
Nyote Mnakaribishwa
No comments:
Post a Comment