Nakuchukua fursa hii kuwataarifu Watanzania waishio Reading ya kuwa tutakuwa na mkutano mkuu wa kuwachagua viongozi wa jumuiya yetu hapa Reading tarehe 25/04/2010 ,kwa yoyote yule atakayependa kuwania nafasi basi unatakiwa kujaza form iliyopo kwenye kiambanishi na kuirudisha kabla ya tarehe 20/04/2010.
Upatapo ujumbe huu basi mjulishe na mwenzako.Form zirudishe kwenye email ya Jumuiya na kama unamaswali yoyote yale basi usisite kuwasilaina na sisi.
NAFASI ZA KUGOMBEA NGAZI YA JUU
1:Mwenyekiti
2:Makamu Mwenyekiti
3:Katibu
4:Katibu Msaidizi
5:Mtunza Hazina/Mtunza Hazina msaidizi
WAJUMBE
Nafasi Tano za wajumbe
UKUMBI :TUTAWAJULISHA
MUDA:SAA NANE MCHANA(ZINGATIENI MUDA)
TAREHE:25.04.2010
No comments:
Post a Comment