TANZIA: READING
Jumuiya ya Watanzania Reading, inasikitika kuwatangazia kifo cha Mama Mzazi wa Mchungaji Mlozi wa Reading kilichotokea Leo huko Iringa Tanzania 09/04.2010,kama desturi fikisha mchango wako kwa viongozi wa Jumuiya ya Watanzania Reading ,au jitahidi kufika kwa mfiwa ili tumpatie faraja.
Mahali; 34 Alan Place
Reading
RG30 3BW
Tel:07578463537
No comments:
Post a Comment