TANZANIAN ASSOCIATION READING AND BERKSHIRE. Bringing the communities together through integration and cohesion Together we can make our communities better and safer
Friday, 7 May 2010
Uchaguzi wa Ta Reading
Hawa ni baadhi ya kinamama kwani nao hawakubaki nyuma katika kuhakikisha wanachagua viongozi wao. Na hata matokeo yake yameonekana kwani kuna wanawake sita katika uongozi huu mpya. Hiyo ikiwa ni karibu nusu ya uongozi mzima. Hongereni sana kina Mama kwa kujitokeza kwa kazi ya Jumuiya. Kwani kuna msemo unaosema "Elimisha Mwanamke uelimishe Taifa".
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Pozi hilo la Apple mh dada
ReplyDelete