Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania Reading wakiwa na wageni rasmi katika picha ya pamoja. Waliosimama kuanzia kushoto ni Bw Aljanes Mjumbe,Bi Francia Mjumbe, Bi Tuli Mjumbe, Bi Stella Mjumbe, Bw Hussen Makamu Mwenyekiti, Bw Silvester Mjumbe, Bw Mohamed Mweka Hazina Msaidizi, Bw Maina Mwenyekiti wa CCM uk, Bi Salome Mjumbe, Bw Albino Mdau.
Waliokaa kuanzia Kushoto ni Bi Flora Mweka Hazina, Mh Zungu Mbunge, Mh Mashilingi Mbunge, Mh Mama Balozi Maajar, Bw Davis Mwenyekiti, Bw Amri Katibu Mkuu, Bi Wendy Katibu Mkuu Msaidizi.
No comments:
Post a Comment